Rejea
taarifa ya msiba wa Mzee Said Muhammad Sikamkono mazishi yatafanyika
kesho tarehe 13/10/2011 katika makaburi ya Hainalt Garden of Peace saa
nane mchana. Ila kabla ya makaburini tunaombwa wote tufike msikiti wa
Sakina Walthamstaw (basi namba 179) saa sita na nusu mchana. Msiba uko
nyumbani kwa marehemu Woolwich Dorkyard ambako wote tunakaribisha muda
wowote kujumuika na familia ya marehemu wakati huu wa majonzi .Wakina
mama pia wanaweza kufika msikitini au nyumbani kwa marehemu kwa ajili ya
kutoa pole.
Address ya sehemu ya msiba ni;
Woolwich Ferry
405,Frances Street, London.
SE18 5JU.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na;
07813539025 - Haruna mbeyu.Katibu Jumuiya ya Watanzania -london
07766454596 - Abdallah Mdidi





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)