Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la marehemu Harith Juma
Mwapachu wakati wa maziko yake kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es
Salaam. Harithi ni mtoto wa Katibu Mkuu Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki, Balozi Juma Mwapachu, alikufa Jumanne, Dar es Salaam. Kulia
ni Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
(Picha na Freddy Maro).





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)