NAIBU
Katibu Mkuu wa CCM (Bara), John Chiligati (kulia), akikabidhi hundi ya
sh. milioni 70 kwa mwakilishi wa kampuni ya PNR Services Limited,
Dasharath Reddy, zilizotolewa msaada na mfanyabiashara Jaffer Sabodo kwa
ajili ya kuchimba visima 10 vya maji katika Jimbo la Singida Mjini,
mkoani Singida. Katikati ni mwakilishi wa Mbunge wa Singida Mjini,
Mohammed Dewji, Esther Dotto. Makabidhiano hayo yamefanyika nyumbani
kwa mfanyabiashara huyo, Upanga, jijini Dar es salaam, hivi karibuni.
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)