Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea risala kutoka mwanafunzi Ali
Omar Ali,kwa niaba ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na
sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka
2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa zawadi kwa mwanafunzi Ali Hemed Ali,wa kidato cha
sita,Skuli ya Utaani Pemba,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya vizuri
zaidi, mwaka 2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akitoa zawadi kwa Mwanaidi Makame Ali,wa kidato cha sita,Skuli ya
Biashara,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya vizuri zaidi,mwaka
2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na walimu na wanafunzi bora wa kidato cha nne na
sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka
2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar leo.
Baadhi
ya walimu waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi
waliofaulu vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, alipozumza na wanafunzi hao
Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi
ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika
masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali
Mohamed Shein,alipozungumza nao katika hafla ya kuwapongeza kutokana na
kufaulu vizuri katika mitihani yao,huko Ikulu Mjini Zanzibar leo..
(Picha na Ramadhan Othman Ikulu Zanzibar)






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)