Rais Kikwete akutana na watanzania waishio Australia - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete akutana na watanzania waishio Australia

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Australia wakati alipokutana nao mjini Perth unakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola leo jioni(picha na freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages