Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) na Mbwana Matumla wakitunishiana
misuri mbele ya waandishi wa habari wakati wa utambulisho wao wa
mpambano wa kugombea ubingwa wa UBO jumapili hii katikati ni mratibu wa
mpambano huo Mohamedi Bawaziri .
Mratibu wa mpambano wa ngumi Mohamedi Bawaziri
katikati akiwa na mkanda wa ubingwa utakaogombaniwa na mabondia Fadhili
Majia (kushoto) na Juma Fundi siku ya jumapili.(Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)