WAKIMAMA NCHINI TANZANIA WANAVYOINULIWA NA MRADI WA VODACOM '' MWEI'' - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKIMAMA NCHINI TANZANIA WANAVYOINULIWA NA MRADI WA VODACOM '' MWEI''

Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa akiongea na wakinamama wajasiriamali wadogowadogo wa kijiji cha Kitangari Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara,kabla ya kuanza kuwapatia mikopo ya fedha taslimu zinazotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini na kurudisha fedha hizo bila riba.
Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa akimpatia Mwanaidi Musa mkopo wa fedha taslimu kwa ajili ya kufanyia biashara zake na kuzirudisha fedha hizo bila riba yoyote,aliyekaa kushoto ni Mratibu wa Mfuko huo Ally Mbuyu.
Wakinamama wajasiriamali wadogowadogo wa kijij cha Kitangari Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara,wakimsikiliza Meneja wa Vodacom Tanzania wa Mradi wa MWEI Mwamvua Mlangwa hayupo pichani ,wakati wakisubiri kupatiwa mikopo yao ya fedha taslimu zinazotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini bila riba.
Wakinamama wajasiriamali wadogowadogo wa kijij cha Kitangari Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara,wakiwa wameketi wakisubiri kupatiwa mkopo wa fedha taslimu unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia mradi wake wa MWEI unaowakopesha wakina mama hapa nchini bila riba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages