MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KIWANJA CHA NDEGE SONGWE MBEYA

Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akiongea na wakandarasi  wa uwanja wa ndege songwe Mbeya alipotembelea kuona maendeleo ya kiwanja hicho
Meneja wa kiwanja cha ndege mkoa wa mbeya  Ezekia Mwalutende akisoma taarifa ya ya ujenzi wa kiwanja cha  ndege songwe Mbeya
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akiwasisitiza wakandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege songwe kukamilisha ujenzi  uwanja huo kwa muda uliopngwa
Mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro akimsikiliza Mhandisi wa kampuni ya kundan singh 
Mkuu wa mkoa Mbeya Basi Kandoro akikagua uwanja wa ndege songwe
Hili ni jengo la abiria likikamilika linauwezo wa kuhudumia abiria 300 kwa saa

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege nyenye urefu wa kilometa 3.6 na upana wa mita 45 kiwanja kitakuwa barabara ya kiungo moja na eneo la maegesho lenye uwezo wa kuegesha ndege nne aina ya boing 737 kwa pamoja.Picha Na Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages