
Waziri
Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Cleopa Msuya (katikati), akihutubia katika mkutano mkuu wa mwaka
wa 38 wa wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam jana. Kulia ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche na kushoto ni viongozi wa
kampuni hiyo,na Katibu wa kampuni hiyo, Haruna Ntahena
Mwanahisa wa TBL, Mzee Kibonde kutoka Rungwe mkoani Mbeya, akichangia hoja wakati wa mkutano huo.
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL, waliofanikisha mkutano huo.
Waziri
Mkuu mstaafu, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Cleopa Msuya (aliyevaa tai nyekundu), akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya wanahisa wa kampuni hiyo, baada ya kumalizika kwa
mkutano huo.








No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)