Maadhimisho ya (UWT) na miaka 50 ya uhuru - Mara - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Maadhimisho ya (UWT) na miaka 50 ya uhuru - Mara

MKE WA RAIS NAMWENYEKITI WA TAASISI YA WAMA MAMA SALMA KIKWETE AKIVISHWA SKAFU NA CHIPUKIZI ALIPOWASILI OKT,12,2011 KATIKA UWANJA WANDEGE WA MUSOMA MKOANI MARA AMBAPO NDIE MGENI RASMI KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UWT NA MIAKA 50 YA UHURU,(KULIA) NI MAKAMU MWENYAKITI WA UWT TAIFA ASHA BAKARI
MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE NA MWENYEKITI WA TAASISI YA WAMA AKIKABIDHI KWA MWAKILSHI WA KITUO CHA AFYA CHA BUTIAMA MARCELINA MAGANA BAADHI YA VIFAA VYA HOSPITALI VILIVYOTOLEWA NA UWT TAIFA KWA HOSPITALI HIYO,VIFAA HIVYO NI PAMOJA NA PAMPU MOJA KUBWA YENYE UWEZO WA KUSAMBAZA MAJI ENEO LOTE LA HOSPITALI YA BUTIAMA NA MATENIKI YA KUHIFADHIA MAJI , (PICHANI KATI) NI MPYA WA MKOA WA MARA JOHN TUPA, 
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Makongoro Nyerere akimtambulisha Mama Fatma Karume kwa wakazi wa Butiama wakati ujumbe wa viongozi wa UWT pamoja na waasisi wake walipotembelea katika kituo cha afya cha Butiama ambapo kwaniaba ya UWT Taifa Mke wa Rais mama Salma Kikwete alikabidhi vifaa mbalimabli ikiwemo pampu kubwa moja ya maji,matenki ya kuhifadhia maji, na sabuni,
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wafanyakazi na wauguzi wa kituo cha afya cah Butiama mkoani Mara, ((okt,12,2011) 
Ngoma ya asili ikichezwa katika kituo cha afya Butiama,
Baadhi ya watoto wagojwa walolazwa katika kituo cha afya Butiama wakiwa wodini na wazazi wao
Wake wa viongozi wakuu waliowahi kuongoza nchi ya Tanzania wakiwa kijijini Butima kwenye hafla ya utoaji wa TUZO pamoaja na kuzuru kaburi la baba wa Taifa Mwl, Julius Nyerere (kushoto) ni aliekuwa mke wa Rais wa Tanzania Mama Maria Nyerere(katikati) na Mke wa Rais wa Tanzania Kwa sasa Mama Salma Kikwete na(kulia) ni alliekuwa mke wa Rais wa Serikali ya mapinduzi wa Zanzibar Mama Fatma Karume,, Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO,

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages