Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uzio
uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha
Kipera, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda
katika mtaa wa Mwanga na katika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wa
kigeni amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa
yeyote kwa Halamashauri ya Kijiji na wananchi.
Mbunge
wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akionyeshwa sehemu ya
shamba hilo la mwekezaji eneo lililofungwa njia na kuwazuia wananchi
kupita. Picha na Mroki Mroki
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)