Basi
la Shabco Express ambalo lilikuwa likieleka Arusha leo limepata
ajalimbaya ya kupinduka katika kona za Msambizi, Korogwe. Kwa mujibu wa
abiria haowalisema kuwa gari hilolilipata ajali hiyo baada ya kulikwepa
gari dogo na kujikuta likitumbukia mtalonikutoka na hali ya mvua na
ukungu uliokuwa umeenea barabara nzima. Hakuna mtu aliyekufa katika
ajali hiyo
Abiria wakiwa wanaangalia ustarabu wa kusubiri gari lingine ili
waendelee na safari yao, hapo ilikuwa ni majira ya saa tisa mchana huku
mvua ikinyesha.
Abiria wakinyeshewa huku wakiwa na watoto wadogo mgongoni.
Gari hilo likionekana kwa upande wa nyuma.
Picha zote kwa Hisani ya Habari na Matukio Blog
Picha zote kwa Hisani ya Habari na Matukio Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)