MKAPA AFUNGA KAMPENI ZA CCM IGUNGA leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKAPA AFUNGA KAMPENI ZA CCM IGUNGA leo

Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa akituhubia maelfu ya watu katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga, jana katika Uwanja wa Sokoni, Nkinga mkoani Tabora.
Mkapa akimnadi mgombea wa CCM Dk Dalaly Kafumu katika mkutano huo.
Umati mkubwa wa watu ukimsikiliza Benjamin Mkapa Rais Mstaafu wa Tanzania na Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM wakati akifunga kampeni leo jioni.Picha Na Full Shangwe Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages