TANESCO MPO?????? - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANESCO MPO??????

umeme_nguzo_face
Mvua ya leo imeweza kuzua kizazaa baadhi ya sehemu hasa maeneo ya Mabibo kwa kusababisha nguzo moja, kuilalia nguzo nyingine. Nguzo hiyo ni miongoni mwa nguzo ambazo Tanesco wamekuwa wakiziweka sasa na tayari baadhi ya watu wanasema zimeshaanza kupitisha umeme.Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages