
Jackson
Makini aka CMB PREZZO kutoka nchini Kenya amedondosha kazi mpya 4 SHO 4
SHIZZY aliyomshirikisha Producer wa ngoma hiyo ULOPA kutoka katika
studio ya SAMAWATI ya Jijini Nairobi Kenya,Video ya kazi hii ameshoot na
kampuni ya BOOMBA Video inatarajiwa kutoka baada ya wiki mbili katika
vituo vyote vya Tv Africa nzima:
Pamoja sana
Ambwene Yessayah (AY)





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)