Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akagua Madini Yanayochimbwa Mpanda - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akagua Madini Yanayochimbwa Mpanda

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua madini yanayochimbwa Mpanda wakati alipotembelea banda la TPM MINING COMPANY LIMITED katika maonyesho yatakayoambatana na uzinduzi wa mkutano wa uwekezaji unaotarajiwa kufunhuliwa na Rais Jakaya Kikwete Mjini Mpanda October 17,2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages