Basi
la abiria likiwa limejaza kupita kiasi hadi abiria wengine kuning'inia
katika daladala lenye namba za usajili T617ASZ linalofanya safari zake
kati ya Morogoro Mjini na Merela Wilayani Mvomero katika barabara kuu ya
Iringa, likipita katika eneo la Merela kuelekea mjini Morogoro Oktoba
17, 2011 jambo ambalo ni hatari kwa usalama wa abiria hao. Lakini swali
ni je Askari wa usalama barabarani wa mkoa wa Morogoro wanao kaa eneo
hilo walikuwawapi na kuruhusu gari hili kupita?.Picha Na Father Kidevu
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)