Abiria 30 wanusurika Kifo katika ajali mbaya iliyo tokea eneo la Mbalizi Mkoani Mbeya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Abiria 30 wanusurika Kifo katika ajali mbaya iliyo tokea eneo la Mbalizi Mkoani Mbeya


 Ajali ya gari ambayo hufanya ruti ya kusafirisha abiria kutoka Mwanjelwa jijini Mbeya mpaka mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini,  ambayo imetokea mteremko wa Mbalizi ambapo zaidi ya abiria Thelathini wamenusurika kifo, baada ya gari kushindwa kupandisha mlima hali iliyopelekea kupinduka. Tukio hili limetokea siku ya Jumapili.
Baada ya kupinduka kwa gari hiyo ambayo hufanya tuti ya kusafirisha abiria kutoka Mwanjelwa jijini Mbeya hadi Mji mdogo wa Mbalizi wilaya ya Mbeya vijijini hatimaye lilinusurika kutumbukia bonde la mtoni Mbalizi yukio lililotokea siku ya Jumapili.

Jeshi la polisi Usalama barabarani Mbeya mnapaswa kufanya uchunguzi wa kina ili kuweza kubaini magari yenye karoso kwa lengo la kuepukana na ajali zisizokuwa za lazima
 
CREDIT: MBEYA YETU BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages