Advocate Yusta Msoka
Yusta Msoka akiwa amesimama
nyuma, mbele ya dirisha la pili upande wa kulia, akiwa katika picha ya
pamoja na Wanasheria wenzake baada ya kula kiapo cha kuwa Advocate
(Wakili)
KAPINGAZ Blog inapenda
kumpongeza sana Dada Yusta kwa kufanikiwa kufika hapo alipofikia, vile
vile inamshauri asiishie hapo aendelee zaidi mpaka aweze kufikia level
ambayo ni ya kimataifa.
Kwa kutambua uhaba mkubwa wa
Mawakili katika Taifa letu tunapenda kuwapongeza wale wote walioweza
kufanikiwa kuwa Mawakili, tunawaomba wakafanye kazi zao kwa uadilifu na
kuliletea sifa na mafanikio mazuri taifa letu, hasa hasa kuwa makini
katika mikataba mikubwa ambayo taifa letu sasa linaangamia kutokana na
mikataba hiyo.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)