Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi ,Dk Shukuru Kawambwa Atembelea Arusha Technical College- Oljoro Irrigation Training Farm - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi ,Dk Shukuru Kawambwa Atembelea Arusha Technical College- Oljoro Irrigation Training Farm

Dkt. Shukuru Kawambwa  akipokea maelezo kutoka kwa  Dkt. Richard Masika- Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha,  kuhusu Shamba darasa kwa ajali ya wanafunzi wanaosoma Kozi ya Ujenzi na Umwagiliaji
 Waziri  wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa , akipokea maelezo mafupi kuhusu sehemu ambayo itachimbwa Kisima kirefu ili kupata maji ya umwagiliaji
Waziri  wa Elimu na Mafunzi ya Ufundi, Dkt. Shukuru Kawambwa , akisaliamiana na wataalumu wa Umwagiliaji kutoka Japan ambao watasaidia katika mafunzo ya Ujenzi na umwagiliaji katika Chuo cha ufundi Arusha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages