Balozi Wetu Umoja wa Afrika Balozi Ashiriki Mkutano Wa Mambo Ya Utalii Barani Afrika - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Wetu Umoja wa Afrika Balozi Ashiriki Mkutano Wa Mambo Ya Utalii Barani Afrika

Mhesimiwa Balozi Amina Salum Ali ambaye ni mwakilishi wa Umoja wa Afrika(African Union) nchini Marekani akipiga picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Gambia Dr. Hajjat Assiat Njiaye baada ya kikao kilichozungumzia maswala ya Utalii  (African Tourism Annual Leadership Forum) ambapo Tanzania iliwakilishwa na Mheshimiwa Ezekiel Maige, Waziri wa Maliasili na Utalii. Kikao hiki kilifanyika wiki iliyopita, tarehe 22 September 2011 huko  New York nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages