Mdahalo
huo umefanyika leo ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya wiki ya haki ya
kupata taarifa duniani.Tangu mwaka 2007, wadau wa habari na watanzania
kwa ujumla wamekua wakidai kuwepo kwa sheria ya habari (Right to
information law), lakini hadi sasa imekua kitendawili.
Mwandishi
na mtangazaji wa kituo cha redio cha Wapo FM akiongoza mjadala huo
Mafundi
mitambo nao walikuwepo kuhakikisha matangazo yanaruka bila mtafaruku
wowote





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)