Vodacom Foundation Wakabidhi Mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M Kwa Watu Wenye Ulemavu Nchini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Vodacom Foundation Wakabidhi Mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M Kwa Watu Wenye Ulemavu Nchini


Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi Mohamed Mpinga (wa pili kilia) akimshukuru Afisa wa Vodacom Foundation Grace Lyon wakati wa kukabidhi mabango 30 yenye thamani ya shilingi 3.5 M kwa ajili ya watu wenye ulemavu Nchini.Wa pili (kushoto)ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Barabarani kwa watu wenye ulemavu Jutoram Kabatele na Mwakilishi wa Compass Communications Mario Mpingirwa.Mpiga picha wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages