
Rais Jakaya Kikwete akihutubia Mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa jijini New York jana

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil jijini New York Marekani ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika maongezi mafupi na kiongozi wa serikali ya mpito ya Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimtabulisha Balozi wa Kudumu wa Tanzania Umoja
wa Mataifa Mh Ombeni Sefue kwa kiongozi wa serikali ya mpito ya
Libya Bw. Mustafa Abdel-Jalil.Picha na IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)