Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),
Dk.Edward Hosea, akimkabidhi kompyuta ndogo (Lab top), Mwalimu Mkuu wa
Shule, kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali zikiwemo za kupambana
na rushwa.Pia aliikabidhi shule hiyo fulana, kofia na sh.milioni.2.
Mkurugenzi
wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU),
Dk.Edward Hosea (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Josephine
Leonce, mwanafunzi wa kidato cha pili wa Shule ya Sekondari ya Ilala,
baada ya kutembelea maabara ya shule hiyo kuona wanafunzi
wanavyojifunza kwa vitendo, katika sherehe za Mahafali ya Tatu
yaliyofanyika Dar es Salaam jana.Wa pili kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo,
Anna Selasini. Dk.Hosea alikuwa mgeni rasmi.Picha na Richard Mwaikenda





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)