MAKABURI ya Wahanga wa ajali meli
katika Kijiji cha Kama nje kidogo ya mjini wa Zanzibar Wilaya ya
Magharibi. ambayo yamezikwa jumla ya miili ya watu 46 wakiwemo Watoto
23 na watu wazima 23.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar, Pandu Ameir Kificho akiongoza na Ujumbe kutoka Arusha wa timu
ya Wazee Sport Club ukiongozwa na Mwenyekiti wa timu hiyo Aatsa
Atogho(kushoto), wakisoma dua katika makaburi ya wahanga wa ajali ya
meli yaliyoko Kama Mkoa wa Mjini Magharibi.
MKUU wa wilaya ya Magharibi
Unguja, Hassan Mussa Takrima, akitowa maelezo kwa Ujumbe wa Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara, Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mkama,
walipotembelea eneo lilozikwa maiti wa ajali ya meli ya MV.Spice Kama
wilaya ya Magharibi jana.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Pandu Ameir Kificho akiuongoza Ujumbe kutoka Arusha wa Timu
ya Wazee Sport Club ukiwa na Mwenyekiti wa timu hiyo Aatsa Atogho,
mwenye suti nyeusi wakizuru makaburi ya Wahanga wa ajali ya meli
Kama.Picha Zote na Othman Mapara-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)