MAKAMU WA RAISI DK BILAL AKIPEWA MAELEKEZO NA MENEJA WA TAZARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DK BILAL AKIPEWA MAELEKEZO NA MENEJA WA TAZARA

 
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Tazara, Mkandarasi Abdallah Shekimweri (aliyenyosha mkono) kuhusu bogie ya locomotive inayobeba behewa wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye maadhimisho ya miaka 35 ya kutoa huduma za reli ya Tazara na miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Maonesho hayo yalifanyika katika viwanja vya Tazara, Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Waziri wa uchukuzi, Omari Nundu. (Picha na Yusuf Badi).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages