Tamasha la 10 la jinsia laendelea lililofanyika katika viwanja vya tgnp Jana. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Tamasha la 10 la jinsia laendelea lililofanyika katika viwanja vya tgnp Jana.

Pichani juu na chini ni akina mama wa kabila la Kimasai kutoka Loliondo wakiwakilisha vyema baadhi ya matatizo yao makuuu kupitia mabango,kama uonavyo pichani leo asubuhi kwenye tamasha la 10 la Jinsia,linalofanyika kwenye viwanja vya ofisi ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).

Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh Zitto Kabwe akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya SOMA,Demere Kitunga kwenye viwanja vya ofisi ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP),Mabibo jijini Dar,ambako ndiko tamasha la 10 la jinisia linafanyika.
Pichani kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Mtandao wa Jinsia,Ussu Mallya akiwa na Mgeni rasmi wa tamasha la 10 la Jinsia,kutoka chuo kikuu nchini Ghana,Profesa Dzodzi Tsikata pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya SOMA,Demere Kitunga.
Wanaharakati wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi wa tamasha la 10 la Jinsia,kutoka chuo kikuu nchini Ghana,Profesa Dzodzi Tsikata.(Habari kwa hisani ya kilinyepesi)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages