UMOJA WA WAZAZI CCM WAMPA POLE RAIS WA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UMOJA WA WAZAZI CCM WAMPA POLE RAIS WA ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DK Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi ya Chama cha Mapinduzi,(CCM) Mhe,Dogo Iddi Mbarouk,akiongoza ujumbe wa jumuiya hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais, kutokana na Msiba wa ajali ya Mv Spice Islanders,iliyozama hivi karibuni katika bahari ya Nungwi mkoa wa kaskazini Unguja ikielekea Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, DK Ali Mohamed Shein,akizungumza na ujumbe wa Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi ya Chama cha Mapinduzi,(CCM) ukiongozwa Mhe,Dogo Iddi Mbarouk, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumpa pole Rais, kufuatia Msiba wa ajali ya Mv Spice Islanders,iliyozama hivi karibuni katika bahari ya Nungwi mkoa wa kaskazini Unguja ikielekea Pemba. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages