Mhandisi Amos Njoroge Kushoto akitoa
taarifa kwa Mbunge viti maalum Dk Mwanjelwa katikati kuhusiana na
maendeleo ya ujenzi wa ndege Songe mkoani Mbeya.
Gari hili ndilo lililotumika wakati wa
ukaguaji wa ujenzi huo.
Katika ukaguzi huo Mbunge alibaini
kutoendelea kwa ujenzi wa majengo mbalimbali ya uwanja huo kama mnara wa
kuongoza ndege , mapokezi, na zimamoto yakiwa kama maghofu kama
alivyotembelea Desemba 16, mwaka uliopita na kumtaka mhandisi wa ujenzi
wa uwanja huo Bwana Amos Njoroge na Ferdinand Chami wahatakishe
kukamilisha ujenzi huo kama walivyomuahidi Waziri wa Miundombinu
alivyofanya ziara yake uwanjani hapo.Kwa Picha Zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)