Naibu
Waziri wa Uchukuzi Mhandisi Athmani Mfutakamba (kushoto) akizindua
eneo la ujenzi ,wa kutunzia makontena( GEREZANI CREEK CONTAINER YARD)
ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara Sept 16,2011
katika eneo la Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania jijini Dar es
Salaam. Pichani Mwengine ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Mhandisi
Omari Chambo(suti nyeusi))
Kweli
Wanawake tukiwezeshwa Tunaweza! Nimeshuhudia Sept,16,2011 katika
Bandari ya Dar es Salaam wakati Waziri wa Uchukuzi Mhandisi Omari Nundu
(hayupo pichani ) alipozindua Boti za doria kwaajili ya usafiri wa
majini,Pichani ni mwanamke pekee Mhandisi Marine TUG. Maisara Rumani
(katikati) katika meli ya NYANGUMI , akiwa na Mhandisi Sifuel Felix
(kushoto) pamoja na Mhandisi Nicholus Mfumgomara,




No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)