Naibu
waziri wa Mawasiliano Mh. Charles Kitwanga akizungumza na wakuu wa
vitengo Kampuni ya simu ya TTCL pamoja na wajumbe wa bodi ya kampuni
hiyo baada ya kumalizika kwa kikao cha kujadili Changamoto mbalimbali
zinazokabili shirika hilo, ikiwa ni pamoja na kuweka mikakati
mbalimbali ya kukuza na kuendeleza shirika hilo.
Waziri wa Mawasiliano Charles Kitwanga akiwa katika picha ya pamoja Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Said Amir Said, pamoja na mwenyekiti wa bodi ya kampuni hiyo Dr. Enos Bukuku mara baada ya kumaliza kikao chao leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)