SOKO LA MWANJELWA LLILIVYOBAKI KUWA MAGOFU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SOKO LA MWANJELWA LLILIVYOBAKI KUWA MAGOFU

Haya ni mabaki ya mabati na vyuma  vilivyoteketea kwa moto
Moto bado unaendelea kuwaka  taratibu huku watoto wakiokota mabaki ya bidhaa mbali mbali zilizoungua na moto
Vibaka wakitoka na vyuma chakavu katika banda la sido lililoungua kwa moto
Mabaki ya majiko ya mkaa na vigae vyake
soko limebaki ni uwanja tu hakuna kilichobakia

Jengo la sido mbeya nalo limeteketea kwa moto

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages