Sports FM yapata leseni ya utangazaji TCRA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Sports FM yapata leseni ya utangazaji TCRA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akimkabidhi leseni ya utangazaji Mkurugenzi wa Kituo cha Redio cha Sports FM cha Mjini Dodoma, Abdallah Majura (kushoto) katika hafla fupi iliyofanyika katika ofisi za TCRA barabara ya Samnujoma Dar es Salaam hii leo.
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma akizungumza wakati wa utoaji wa leseni za utangazaji jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages