Freddy Macha Aja na '' PAKA MWEUSI'' - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Freddy Macha Aja na '' PAKA MWEUSI''

URBAN PULSE CREATIVE Inakuletea video fupi ya kibao kinachoitwa ''PAKA MWEUSI'' kutoka kwa Msanii Freddy Macha.

Kibao hiki kilichotungwa na Freddy Macha wakati akiishi Mwananyamala Kisiwani mwaka 1979. Kilikuwa kati ya nyimbo zilizoimbwa katika bendi ya Sayari iliyowika Bongo na nchi za Scandinavia kati ya 1980 hadi 1984.

Kwa mikoba zaidi na video  za Mtunzi huyu hebu tembelea http://www.freddymacha.com

Asanteni,
 

URBAN PULSE CREATIVE
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages