Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha akizungumza wakati wa
uzinduzi wa Kampebni ya Unywaji Pombe kwa Staha inayoendeshwa na Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL). Kampeni hiyo itafanyika nchini kote kwa
kuwahimiza madereva kunywa pombe bila kuzidisha kiwango na kuzingatia
usalama barabarani.
Mkurugenzi
wa Mawsiliano na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda akitoa ufafanuzi juu
ya Kampeni hiyo ya Unywaji Pombe kwa Staha.
Mkuu
wa Polisi Kikosi cha Usalama barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga
akishukuru SBL kwa kuanzisha Kampebi hiyo ambayo anaamini itasaidia kwa
kiwango kikubwa kupunguza ajali za barabarani.
Mkurugenzi
Mtendaji wa SBL, Richard Wells akizungumza katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi
wa SBL waliohudhuria katika uzinduzi huo wakifuatilia matukio.
Mkurugenzi
wa SBL, Richard Wells akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai
Nahodha vifaa maalum vya kupimia madereva kiwqango cha ulevi.Kushoto ni
Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano.
Mkurugenzi
Mtendaji wa SBL, Richard Wells akimsuhukuru Waziri wa Mambo ya Ndani ya
Nchi Shamsi Vuai Nahodha kwa kuzindua rasmi kampeni hiyo ya Unywaji
Pombe kwa Staha.
Mabango
yatakayotumika kuhamasisha watu kunywa pombe kwa staha na kutoenbdesha
vyombo vya usafiri.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL,
Ephraimu Mafuru akizungumza baada ya uzinduzi huo kufanyika jijini Dar
es Salaam leo. "Marafiki
hawaruhusu wenzao kutumia kilevi na kuendesha" ndio kaulimbiu ya
Kampeni hiyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)