SOKO LA MWANJELWA KIWANJA CHA SIDO LILIVYOTEKETEA KWA MOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SOKO LA MWANJELWA KIWANJA CHA SIDO LILIVYOTEKETEA KWA MOTO

Soko la mwanjelwa eneo la sido mbeya lawaka moto chanzo mapaka sasa hakijajulikana
Moto mkubwa ukiendelea kuwaka
Baadhi ya  mabanda sokono hapo tayari yameteketea kabisa na moto
Kama kawaida kikosi cha zimamoto mbeya kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea 
Kufa kufaana kibaka tayari ameshaiba huyooo anatimka
Dada nae hayuko nyuma katika wizi keshachukua kapeti
Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea
Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto

Hii ni hatari

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages