MKUU WA MKOA WA MBEYA AAPISHWA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA MBEYA AAPISHWA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha wakuu wa mikoa aliwateua hivi karibuni.Sherehe za kuwaapisha wakuu hao wapya wa mikoa ilifanyika leo asubuhi katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam.Pichani Mkuu mpya wa Mkoa wa Mbeya Abasi Kandoro akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete na kukabidhiwa miongozo ya kazi

Mkuu wa mkoa Mbeya akikabidhiwa mwongozo wa kazi


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages