Hii ni
mojawapo ya changamoto zinazopatikana katika shule za kata kwani lugha
mara nyingi ambazo wanafunzi wanatumia huwa ni za makabira yao badala ya
kiswahili na Kiingereza ambazo ndizo lugha zinazotumika kufundishia
darasani.Bango hili lilikutwa katika shule ya sekondari Changaa ya
wilayani Kodoa, Mkoani Dodoma.Picha kwa hisani ya Marafiki wa Elimu
Dodoma blog
Maabara ya shule ya sekondari Changaa ambayo mbali na changamoto za miundombinu na vifaa vya kufundishia, shule hii ina walimu watatu wa kuajiriwa.
Maabara ya shule ya sekondari Changaa ambayo mbali na changamoto za miundombinu na vifaa vya kufundishia, shule hii ina walimu watatu wa kuajiriwa.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)