Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr
James Nsekela akiingia katika ukumbi wa Royal Village Mjini Dodoma
tayari kwa kufungua mkutano wa mwaka wa marafiki wa elimu.Pamoja nae
Kulia ni Mkurugenzi wa HakiElimu Elizabeth Missokia,Rafiki wa elimu Bi
Philipina Labia, Rev Samiaeli Mteri,Meneja wa Idara ya Ushiriki wa
Wananchi Pius Makomelelo na meneja wa idara ya upatikanaji taarifa Bwana
Robert Mihayo
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)