SAKATA LA UMEYA SONGEA CCM WATOFAUTIANA WENYEWE KWA WENYEWE! - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SAKATA LA UMEYA SONGEA CCM WATOFAUTIANA WENYEWE KWA WENYEWE!


Mh. Charles Mhagama Diwani wa Matogoro.

Sakata la nafasi ya Umeya iliyoachwa wazi baada ya mmeya wa zamani kufariki dunia limeleta tafrani ndani ya wana CCM wenyewe baada ya kuonekana jina la Mgombea wa nafasi hiyo Mh. Mhagama kuonekana limechakachuliwa.

Mh. Emmanuel Nchimbi alilishuhudia tukio hilo.
Chadema nao wakataa kumtambua, ingawa walishatoa mgombea wao mapema.
KAPINGAZ Blog inasema Chonde chonde kwa kunyumba huko!

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages