UZEMBE HUU NANI ANGELAUMIWA ENDAPO MBWA HUYU ANGEWADHURU WACHEZAJI AU WATAZAMAJI! - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZEMBE HUU NANI ANGELAUMIWA ENDAPO MBWA HUYU ANGEWADHURU WACHEZAJI AU WATAZAMAJI!

Mbwa wa polisi akiwa uwanjani peke yake baada ya kuwafukuza wachezaji.
Ndani ya Uwanja wa CCM kirumba mwanza lilitokea tukio la aina yake baada ya Mbwa wa Polisi kuingia uwanjani na kuanza kukimbiza wachezaji wakati wa mechi ya Simba na Toto Africa.
Kitendo kama hiki cha kizembe ni nani alaumiwe! na TFF imesemaje ili kisitokee tena?
Kwa uelewa wangu Mbwa wa polisi akipelekwa kwenye shughuli za Soka anatumika tu kwa ajili ya kutishia wale ambao wanataka kukiuka taratibu, lakini sio kwa kumuachia kama hivi. Kama hii mechi ingekuwa ni ya Kimataifa TFF wategemee nini kutoka FIFA! au Fideration ambayo itakua imeandaa mashindano hayo!
"TUWE NA UTARATIBU WA KUWAPA SEMINA HAWA WOTE WANAOHUSIKA NA SHUGHULI HIZI"
KAPINGAZ Blog imesikitishwa na tukio hili

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages