PAPAZII YAMBWAGA DOLA KWA WAREMBO MISS TANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIGIZA FILAMU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PAPAZII YAMBWAGA DOLA KWA WAREMBO MISS TANZANIA WENYE VIPAJI VYA KUIGIZA FILAMU

 Maofisa wa Papazi wakiongozwa na Mkurugenzi wa Papazi, Hans Zakaria (kulia) wakipiga picha ya pamoja baada ya washindi hao kukabidhiwa vitita vyao.

 Washindi wakionesha vitita vya kutoka kushoto ni  Christine Mwegoha aliyepata dola 200, Zubeda Seif dola 1000 na Husna Maulid, warembo hawa wa Vodacom Miss Tanzania pia watafabya kazi nba Kampuni ya Papazi Entertainment & Promotion katika uchezaji Filamu.
Kwa Picha Zaidi <<<< BOFYA HAPA >>>> 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages