Baadhi ya magari
yaliyotumiwa kuwafundisha walimbwende wa Vodacom Miss Tanzania katika
ufukwe Coco beach.
Mshiriki wa Vodacom
Miss Tanzania Alexia William akimsikiliza Afisa Mauzo wa kampuni ya
kuuza magari ya CFO Motors Magdalena Mpeku akimpa maelezo namna ya
kuendesha gari la aina ya Jeep Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72
ambalo Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo
Mlimani City Dares Salaam septemba 10.
Vodacom Miss
Photogenic Stacy Sospeter akishuka kwenye gari aina ya Jeep Patroit
ambalo alikuwa akijifunzia namna ya kuendesha,Mshindi wa shindano la
Vodacom Miss Tanzania 2011 atazawadiwa gari ya aina hiyo yenye thamani
ya Tsh Milion 72.
fisa Mauzo wa
kampuni ya kuuza magari ya CFO Motors Graciano Mfuse akiwapa maelezo
baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011
kabla ya kuanza mafunzo rasmi ya namna ya kuendesha gari aina ya Jeep
Patroit lenye thamani ya Tsh Milion 72 ambalo Vodacom Miss Tanzania
2011 atazawadiwa siku ya shindano hilo Mlimani City Dares Salaam
septemba 10.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)