Kamishna wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha,
Ngosha Said Magonya, akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika
(ACBF) kwa niaba ya Waziri wa Fedha Mustafa Mkulo, jijini Arusha jana.
Profesa Samwel Wangwe (kushoto) na Kamishna
wa Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha Ngosha Said Magonya, wakibadilishana
mawazo wakati wa mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana ulioanza jana jijini
Arusha, ambao utafunguliwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kesho.
Baadhi ya washiriki
wa Mkutano wa 20 wa Bodi ya Magavana wa Afrika (ACBF) wakifuatilia
mijadala mbalimbali wakati wa mkutano huo ulioanza jana Arusha.
Mwenyekiti wa Bodi ya Magavana wa Afrika
(ACBF) na pia aliyewahi kuwa Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Sten
Rylander (kushoto) akiwa na Kamishna wa Fedha za Nje wa Tanzania Ngosha
Said Magonya (wa pili kushoto), Waziri Mkuu Mstaafu wa Mauritania, Zeine
Ould Zeidaneb(wa pili kulia) na Katibu Mtendaji wa ACBF Dkt Franniel
Leautier (kulia) wakati wa mkutano huo.Picha za
Vicent Tiganya-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)