Waziri wa Afya wa Zanzibar,
Juma Haji Duni (katikati) akizungumza baada ya kupokea msaada wa
vyakula, dawa, maji na misaada mingine ya kibinadamu iliyotolewa na
Benki ya NBC kwa ajili ya wahanga wa ajali
ya Meli ya MV Spice Islander iliyotokea usiku wa Septemba 10 visiwani humo. Katikati ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja na nyuma ya Masanja ni Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Eddie Mhina. Hafla ilifanyika Zanzibar juzi

Mshauri wa Mambo ya Habari wa Benki ya NBC, Redemptus Masanja (kushoto)
akikabidhi sehemu ya misaada iliyotolewa na NBC kwa ajili ya wahanga
wa ajali ya Meli ya MV Spice Islander kwa Waziri wa Afya wa Zanzibar
Juma Haji Duni Mjini Zanzibar juzi. Kulia ni Meneja wa Tawi la NBC
Zanzibar, Rajab Maalim
Meneja wa Tawi la Benki ya NBC Zanzibar, Rajab Maalim (kulia) akizungumza
katika hafla ambayo NBC ilikabidhi msaada wa vyakula, dawa, maji na
misaada mingine ya kibinadamu iliyotolewa na benki hiyo
kwa ajili ya wahanga wa ajali ya Meli ya MV Spice Islander iliyotokea usiku wa Septemba 10 visiwani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika visiwani humo mwishoni mwa wiki. Katikati ni Waziri wa Afya wa Zanzibar, Juma Haji Duni na wa pili kushoto ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC, Redemptus Masanja.

Ofisa Uhusiano wa NBC Tanzania,
Eddie Mhina (wa pili kushoto) akisaidiana na baadhi ya wafanyakazi
wa benki hiyo na wakazi wa Zanzibar kushusha baadhi ya vitu
vilivyotolewa msaada na benki hiyo kwa ajili ya wahanga wa ajali ya
Meli ya MV Spice Islander iliyotokea usiku wa Septemba 10 visiwani
humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Visiwani Zanzibar juzi.
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Juma Haji Duni (kushoto) akipokea msaada
wa vyakula, dawa, maji na misaada mingine ya kibinadamu iliyotolewa
na Benki ya NBC kutoka kwa Meneja wa Tawi la benki hiyoVisiwani
Zanzibar, Rajab Maalim kwa ajili ya wahanga wa ajali ya Meli ya MV
Spice Islander iliyotokea usiku wa Septemba 10 visiwani humo.. Hafla
ilifanyika Zanzibar juzi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)