Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (aliyevaa pama) akizungukwa na
wafanyabiashara katika soko la Igunga baada ya kupita karibu na soko
hilo, akiwa katika matembezi yake ya kawaida katika mji wa Igunga
mkoani Tabora leo.
Katibu
wa NEC, Itikati na Uenezi CCM, Nape Nnauye akimvalisha kofia yake ya
pama, mfanyabiashara katika Soko la Igunga, Joseph Kashinde baada ya
mfanyabiashara huyo mwenye bendera ya CHADEMA kwenye banda lake la
biashara (pichani) kuomba kuvaa kofia hiyo, Nape alipita katika soko
hilo na kuzongwa kwa furaha na wafanyabiashara katika soko hilo leo.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi (CCM) Nape Nnauye (wapili kulia) akitoa pole
kwa familia ya mtoto Peter Ezekiel nyumbani kwa wazazi wa mtoto huyo,
Igunga mkoani Tabora leo. Mtoto huyo alifariki papo hapo baada ya
kugongwa na lori la mizigo alipojaribu kukatiza barabara akitokea
katika umati wa wananchi waliokuwa wakisubiri msafara wa mgombea wa
ujumbe Igunga kwa timekti ya CCM, Dk. Dallally Peter Kafumu. CCM
ilisimamia msiba huo hadi mazishi ambapo juzi wakati wa mazishi hayo
ilitoa rambirambi ya Sh. milioni moja na Chadema sh. 120,000. Kulia
Joseph Mlewa, Msemaji wa familia ya mtoto huyo,
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)