MWIZI APOKEA KICHAPO MARA BAADA YA KUIBA MKOANI MBEYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWIZI APOKEA KICHAPO MARA BAADA YA KUIBA MKOANI MBEYA

Kijana Joshua Twaha mwenye umri wa miaka 20, makazi wa Airpot kata ya Iyela jijini Mbeya amepigwa na wananchi wenye hasira kali, katika kata ya Itezi baada ya kuvunja nyumba namba IT/431 mali ya Bwana Mwansyange Pambeje mwenye umri wa miaka 45 wakati hawapo nyumbani hapo na kukumbana nae uso kwa uso mwizi akiwa na shoka na kumtishia mmiliki, ndipo mmiliki akapiga yowe kutaka msaada.
Mara baada ya kupekuliwa alikutwa na Vitambulisho viwili kimoja kikiwa kinaonesha kwamba ni Mwanafunzi wa shule ya Sekondari Irambo na kingine kikionesha kuwa ni Mfanyabiashara wa eneo la Mwanjelwa.
Akihojiwa na Askali wa Upelelezi.
Kwa Picha Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages