10 wafariki katika ajali ya basi maeneo ya Mwidu, Ubena Zomozi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

10 wafariki katika ajali ya basi maeneo ya Mwidu, Ubena Zomozi

Watu 10 wamefariki papo hapo baada ya basi la Grazia lililokua likitoka Njombe kwenda Dar es Salaam kupinduka eneo la Mwidu jana jioni, karibu na Ubena Zomozi, kilometa chache kufika Chalinze, kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Afande Mbaga.
Baadhi ya maiti wakiwekwa garini
Wananchi wakishuhudia
Basi la Grazia likiwa limepinduka hapo Mwidu
Picha na Mdau George

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages