MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA FREEMAN MBOWE AFANYA MKUTANO SOKO LA SIDO NA KULITUMIA KAMA JUKWAA LA SIASA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA FREEMAN MBOWE AFANYA MKUTANO SOKO LA SIDO NA KULITUMIA KAMA JUKWAA LA SIASA

Wananchi waliojitokeza kumsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA bwa Freeman Mbowe katika Soko la Sido Mwanjelwa. Na kudai kuwa maafa haya hayakuwa ya Chadema tu, na kwamba vyama vingine navyo viliathiriwa na moto huo.
Wananchi wakishangilia kwa furaha ujio wa Mheshimiwa Mbowe
Bwana Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge Jimbo la Hai, akiwasili katika Soko la Sido Mwanjelwa.
Bwana Mbowe akiwahutubia wananchi wa Jiji la Mbeya


Wananchi wakifurahia Neno la Bwana Mbowe na wengine wakiwa wamepanda juu ya Mti kufuatilia zoezi la ufariji kutoka kwake

Akina Ma,a nao hawakuwa nyuma nao wakiwa wamewasili Sidi kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Mbowe ambaye alikuja kwa lengo la kuwafariji wakazi na wafanyabiashara walikumbwa na janga la Moto ambalo liliteketeza bidhaa zenye thamani za Mamilioni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages